Wakali wa kundi la mafikizoro usiku wa kuamkia leo walikamua ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Nyomi ya watu ilifurika ukumbini kuwashuhudia wakali hawa mafikizoro.…
Wakali wa kundi la mafikizoro usiku wa kuamkia leo walikamua ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, ambapo nyomi ya watu ilifurika ukumbini kuwashuhudia wakali hawa wa mafikizoro.
...Wakali wa kundi la mafikizoro wakiendelea na kukamua.
...Nyomi ya watu ilifurika ukumbini
Mashabiki wa Mafikizoro wakicheza moja ya wimbo ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
Sign up here with your email