PICHA ZAO AKIVISHWA PETE YA UCHUMBA: KUMBE MCHUMBA WA SUPER STAR NEY WA MITEGO NI TAPELI ANA MCHUMBA TAYARI NA HII NDIO SIKU ALIPOCHUMBIWA..




Anaitwa Siwema akiwa na Mchumba wake aliyemvisha pete ya uchumbwa kwenye sherehe kubwa sana Ijumaa iliyopita Kempisk Hotel na kushuhudiwa na ndugu wa pande zote mbili tena mamen amemnunulia Lexus ambayo sasa anaonekana akipiga picha na Ney wa Mitego kama vile ni lake kumbe ni la huyu mamen na kwamba eti sasa ana mimba ya Ney wa Mitego something is not right hapo nani mkweli na nani ni muongo? Siwema pia ni mfanyakazi wa Precision Air Mwanza. 






 
CDT :BLOG YA WANANCHI
Previous
Next Post »

Blogger templates