HAYA NDIO MANENO MATAMU YA KUMSHIKA MPENZI WAKO NA KUAMSHA HISIA KABLA YA KUFANYA TENDO LA NDOA,SOMA HAPA

 
Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "hisi 
 " kabla ya kuanza kufanya 
mapenzi.
Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano 
mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi!
Hapa najua naongea na watu wazima, 
sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano; Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing tablekama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love"
Maneno haya kwa anayejua mapenzi 
na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa nafasi yake.......!
Na kila mmoja akawa na hamu ya mapenzi na mwenzie! Tuyatumie Maneno hayo

Previous
Next Post »

Blogger templates