SABABU ZA MSINGI ZA KUMYIMA MWENZAKO PENZI


Tupigane msasa kidogo, mimi nilijua kwa mtu kumnyima mwenzake penzi sababu ya msingi sana ni ugonjwa au kuwa katika hedhi kama ni mwanamke. Cha ajabu mtu aumwi wala hayupo kwenye hedhi halafu anakataa tendo, eti sababu hajisikii??!! Au akili yake haijatulia eti. Naomba tujuzane ili tusihisi kuonewa, sababu za msingi za mtu kushindwa kushiriki tendo ni zipi? Isije ikawa mtu katoka kuchepuka
Previous
Next Post »

Blogger templates