Ni aibu kubwa kwa taifa! Huku Waislamu wakiendelea na
Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili
, raia wa Tanzania (Wabongo), mmoja mkazi wa Sinza,
Dar aliyetajwa kwa jina moja la Glory na mwingine ambaye
jina halikupatikana, wanadaiwa kufumaniana laivu nchini
China na kugeuka kituko cha aina yake, Ijumaa Wikienda
ndilo lenye uthubutu wa kuripoti tukio hilo.
Warembo wawili, raia wa Tanzania (Wabongo),
mmoja akifahamika kwa jina moja la Glory na mwingine
ambaye jina halikupatikana wakikwidana.
Habari za awali zilidai kuwa Glory ndiye aliyemfuma mwenzake na
bwana’ke, raia wa Nigeria kisha kumshushia kipigo kabla ya kutoana
nje na kwenda kuchaniana nguo barabarani, mchana kweupe.
OFM KUTOKA GUANGZHOU, CHINA
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu, mwakilishi
OFM KUTOKA GUANGZHOU, CHINA
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu, mwakilishi
wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers nchini
China (jina kapuni), alisema kuwa akiwa katika pitapita zake za
kukusanya matukio ili kuyatuma Bongo kuonesha jinsi gani
Wabongo wanavyoidhalilisha nchi yao ughaibuni, wikiendi iliyopita
alitembelea eneo la Guangzhou Rujing Lu Sky Coffee nchini humo
ambalo Watanzania wengi hufanyia ‘biashara’ zao.
Raia hao wakizichapa kwa ghadhabu.
Mwakilishi huyo wa OFM alisema akiwa eneo hilo linalosifika
kwa matukio na starehe za kichumbani ndipo alipokumbana na
timbwili hilo ambalo linaichafua taswira ya Wabongo ambao
wanakwenda China kuchukua biashara mbalimbali.
NI AIBU KUBWA
“Dah! Hii ni aibu kubwa ambayo sijawahi kutegemea kuwa nitakutana
NI AIBU KUBWA
“Dah! Hii ni aibu kubwa ambayo sijawahi kutegemea kuwa nitakutana
nayo, yaani Wabongo kwa Wabongo wanapigana, wanachaniana nguo
na kuumizana kisa bwana wa Kinigeria, tena ughaibuni!” Alisema kwa
masikitiko mwakilishi huyo wa OFM nchini China.
Raia wa kichina wakishuhudia live vimbwanga
hivyo.
Akiendelea kufunguka, OFM alisema kwamba ilisemekana kuwa
Mnigeria huyo aliwahi kuwa na uhusiano na Glory hivyo siku ya
tukio, jamaa alimtosa Glory na ‘kuchepuka’ na mwenziye.
KIPIGO CHA MBWA MWIZI
Ilielezwa kwamba Glory hakukubali ndipo akamuanzishia timbwili
KIPIGO CHA MBWA MWIZI
Ilielezwa kwamba Glory hakukubali ndipo akamuanzishia timbwili
mwezake na kumpa kipigo cha mbwa mwizi akimtuhumu kwa nini
amemchukulia bwana’ke.
WASABABISHA FOLENI
Katika timbwili hilo, warembo hao walijikuta wakichaniana nguo na
WASABABISHA FOLENI
Katika timbwili hilo, warembo hao walijikuta wakichaniana nguo na
kubaki nusu utupu huku wakirushiana matusi ya nguoni (hayaandikiki
gazetini kimaadili).
Wakati wakipigana waliingia barabarani na kusababisha bonge la foleni
Wakati wakipigana waliingia barabarani na kusababisha bonge la foleni
huku wakinusurika kukanyagwa na magari hasa walipoangushana
katikati ya barabara.
Kuna wakati Glory alimkaba mwenzake hadi mashuhuda wa
Kachero wa kichina akiamulizia ugomvi huo.
POLISI WAITWAKuna wakati Glory alimkaba mwenzake hadi mashuhuda wa
sinema hiyo ya bure wakahisi anamuua mwenzake hivyo
kulazimika kuita polisi wa usalama barabarani ambaye alifika
mara moja na kuwaamulia.
Ilisemekana kwamba, askari huyo alipoona hawaelewani lugha
Ilisemekana kwamba, askari huyo alipoona hawaelewani lugha
ndipo akawaachia huku kila mmoja akichukua hamsini zake.
GLORY ANASEMAJE?
Baada ya kupata taarifa hizo, Ijumaa Wikienda lilifanya jitihada
GLORY ANASEMAJE?
Baada ya kupata taarifa hizo, Ijumaa Wikienda lilifanya jitihada
za kumtafuta Glory kwa njia ya simu yake ya kiganjani lakini
hakupokea na hata alipotumiwa ujumbe mfupi wa maandishi
(SMS) kuhusiana na tukio hilo, licha ya kuonekana umemfikia
(delivered) hakujibu hivyo jitihada za kumpata zinaendelea.
Mmoja kati ya warembo hao waliokuwa
wakizichapa.YATOKANAYO
Kumekuwa na wimbi la warembo ambao huenda
Kumekuwa na wimbi la warembo ambao huenda
nchini China kwa kisingizio cha kwenda kuchukua
biashara lakini ukweli ni kwamba huenda kufanya
mambo mengine mabaya (hasa biashara haramu ya
kuuza miili).
Mbali na ukahaba, wapo wanaodaiwa kufanywa punda
Mbali na ukahaba, wapo wanaodaiwa kufanywa punda
wa kubeba madawa ya kulevya na matokeo yake ni kuishia
kunyongwa mara wanapokamatwa.
Hata hivyo, baadhi ya Wabongo waliozungumza na gazeti
Hata hivyo, baadhi ya Wabongo waliozungumza na gazeti
hili kutoka China, waliziomba mamlaka husika kushughulikia
suala hilo hasa wanapotoa vibali vya kutoka nje ya nchi wajue
mhusika anakwenda kufanya nini
Sign up here with your email