Kuna Wakati Hisia Za Kupenda,Msisimko Hupotea? Sababu Zinazotajwa Kuhusika Ni kama zifuatazo.

Kuna Wakati Hisia Za Kupenda,Msisimko Hupotea?
Sababu Zinazotajwa Kuhusika Ni.
Anahisi Havutii Sana.Mara Nyng Waschana Wakiachwa Hujihisi Kwamba Hawana Mvuto Sana.Anahsi Hata Kama Akikupenda Akitokea Mwenye Mvuto Zaidi Yake Utamtosa Kama Alivyofanya Aliyepita.
Huogopa Ugonjwa Wa Moyo.Inawezekana Ameshaumizwa Sana Uko Alikotoka Na Kila Anapokuangalia Anahisi Kuteswa Tena Na Hvyo Anaogopa Tena Kupata Ugonjwa Wa Moyo.Ana Mashaka,Hana Amani Na Mapenz Tena.
Ana Mawazo Kwana Yawewekana Na Wewe Ni Sawa Na Mpnz Wake Aliyepita.Lkn Kubwa Zaidi Ni Mtu Akiwa Ktk Athari Anawaona Wote Ni Walewale.
Previous
Next Post »

Blogger templates