Baada ya habari za ndege ya Malaysia airline hivi sasa ajali nyingine imetoka karibu kabisa na Tanzania ambapo ni nchini Uganda. Ndege hiyo ambayo ilikuwa imebeba wanajeshi 6 wa Marekani wakitoka Entebe kuelekea South Sudan imetua kwenye barabara ya magari baada ya hitilafu kutokea ikiwa hewani.
Lakini kwenye hii ajali hakuna aliyepata majeraha au kufariki kutokana na taarifa ya msemaji wa polisi nchini Uganda.
Sign up here with your email