Feza Kessy muimbaji ambaye pia aliwahi kushiriki mashindano ya Big Brother Africa kwa msimu uliopita kwa sasa amemaliza kutengeneza video ya wimbo wake mpya alioupa jina la My Papa.
Video hii imefanyika South Africa na kuongozwa na Kyle White na kuwahusisha mModels kadhaa kutoka Tanzania na South Africa kwa Tanzania ameshiriki Daxx na kutoka South Africa ni Tandi,kwenye mjengo wa Big Brother Lexi ameshiriki kwa video hiyo.
Inategemewa kutoka siku ya Ijumaa ya August 08.
VIDEO CHEKI HAPA
Sign up here with your email