Kajala Masanja amekanusha vikali suala la kujipodoa badala yake amesema kiyoyozi cha nchini China kimeifanya ngozi yake ibadilike.
Akizungumza na paparazi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita, Kajala akiwa katika harakati za kuelekea China alisema amekuwa akiipenda nchi hiyo kwani akiwa huko ni ‘full’ kiyoyozi ambacho kimemfanya aonekane mweupe.
Read more: http://habarizetuleo.blogspot.com/2014/01/kajala-masanja-afunguka-juu-ya.html#ixzz2p2yTbKzl
Sign up here with your email