
Habari yako Mnyetishaji??
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 30.Elimu yangu ni chuo kikuu. Sina mke wala mtoto.
Makazi yangu ni Dar na ni mwajiriwa wa kampuni flan ambayo sitaitaja kwa sasa. NATAFUTA MKE WA KUOA
Sichagui dini wala kabila ila elimu yake ianzie kidato cha nne na kuendelea.
Kwa atakayekuwa na nia ya dhati, naomba tuwasiliane kwa njia ya email yangu. Namba ya simu ntampa tukianza kuwasiliana
Read more: http://habarizetuleo.blogspot.com/2014/01/natafuta-binti-mzuri-wa-kuoa.html#ixzz2p31117yc
Sign up here with your email