Onyo! Chunga Sana Namba Hizi Zikupigiapo Katika Simu Yako,Ni Za Matapeli Wakubwa Hapa Bongo,Mfahamishe Na Mwenzako….!!


tapeli sugu
CHUNGA SANA NAMBA HIZI   ZA SIMU ZINAZOTUMIWA NA MATAPELI JIJINI DAR NA MIKOA MINGINE..!
1.0715-426676- Huyu hujifanya yupo Rufiji fundi mkuu
2.0762-601106- Huyu hujifanya meneja wa mladi
3.0783-068678- Huyu ndiye mtafuta Tenda
4.0789-897474- Huyu anajifanya Afsa Suma JKT
Wanambinu nyingi za kumuingiza mjini mtu na tayari wameshawaibia wananchi wengi sana hujifanya wapo
Hata hivyo taarifa zilizonaswa na blog hii zinasema kuwa Jeshi la Polisi Kinondoni limeanza msako wa chini kwa chini kuanzia tarehe ya leo 28/5/2014 ili kuwanasa watuhumiwa hawa kwani wamekuwa kero kubwa kwa wananchi.
Previous
Next Post »

Blogger templates