Kama unadhani busu linalohusisha ndimi na mate ni kitu kidogo
na cha kawaida basi fikiria mara mbili, yamkini unatenda tendo hili
a kiss is more than a kiss, it is a taste test”.
Mate ya binadamu yanahusisha chembechembe “molecules” kutoka
Mate ya binadamu yanahusisha chembechembe “molecules” kutoka
maeneo mbalimbali ya mwili wako, mara ndimi zenu zinapokutana “molecules” hizi hutuma ujumbe
katika ubongo wa mwanaume na mwanamke.
Watafiti wamegundua kwamba kuna wingi wa “bioactive testosterone” katika mate ya
mwanaume kuliko kwa mwanamke, hali hii huyapa mate ya mwanaume uwezo mkubwa wa
kuamsha ndani ya ubongo wa mwanamke hamu na hisia kubwa za kufanya tendo la ndoa
Sign up here with your email