ANGALIA MAISHA YA WANAFUNZI WA CHUO KIMOJA JINA TUNALIHIFADHI NA HAYA NDIO MAISHA YAO !! UTANDAWAZI WACHANGIA

theclicktz.com/
Wanafunzi wakijipiga picha Bafuni Hostel

Kwakweli maisha ya chuoni ni experience tosha, kuna kila aina ya mambo mi naamini kama umepitia maisha ya chuo, umeshakaa hostel basi utakuwa umejifunza mengi sana, na hakuna jipya baada ya hapo. Wapo watu wanaokuja chuoni wakiwa wapole na watiifu, lakini wape muda tu kidogo utaona mara tayari ana boyfriend mara tayari nae ameshaanza kwenda club.

Mambo ni mengi sana Vyuoni, kama mpenzi wako ameenda chuoni ujue kuna kazi hapo ndugu yangu muombee tu MUNGU amlinde, vishawishi ni vingi na kuepukika ni ngumu sana inahitaji ujasiri mno. YABIDI KUWA MAKINI TU
Previous
Next Post »

Blogger templates