MTUMISHI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA, LEILA MGONYA AAGWA BAADA YA KUTEULIWA NA RAIS KIKWETE KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU TANZANIA

Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimlisha keki mtumishi wa Bunge hilo, Leila Mgonya katika shehere ya kumwuaga  baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Awali  alikuwa ni Msaidizi wa  Waziri Mkuu.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. William Lukuvi , akimlisha keki mtumishi wa Bunge hilo, Leila Mgonya katika shehere ya kumwuaga  baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Awali  alikuwa ni Msaidizi wa  Waziri Mkuu.
Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimkabidhi kadi ya hongera mtumishi wa Bunge hilo, Leila Mgonya katika shehere ya kumwuaga  baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Awali  alikuwa ni Msaidizi wa  Waziri Mkuu. (Picha zote na Kamati ya Bunge Maalum la Katiba).
Previous
Next Post »

Blogger templates