Nadhani katika Mtu aliyevunja rekodi ya kuwa maarufu na kuzumgumziwa kila sehemu kwa muda mfupi zaidi itakuwa ni huyu mrembo ambae ni Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu..Yaani kwa sasa Wema Sepetu na Diamond Wamepumzika ..Ushauri wangu kwako tumia hiyo fursa kuwa maarufu zaidi ya hapo ..Rudisha Taji la Lundenga kwa hiari yako uone ..Najua itawashangaza wengi ila umaarufu utakuwa zaidi ya hapo na trust me Watanzania watakupenda….
Mfano mdogo tunaupata kwa Miss America 1984 Vanessa Williams ambae alivuliwa Taji la Miss America baada ya Picha zake za Uchi kuvuja Mitandaoni ..Surprisingly the Huge shameless scandal did not bring her down , she actually emerged as THE most successful of any person ever chosen for the title of Miss America in the entire history of the organization’s run
Sign up here with your email