USHAURI: NINA MIAKA 22 BADO NAKOJOA KITANDANI, NIFANYAJE ?

Hali hii inanikosesha sana raha umri wangu umeenda lakini bado nakojoa kitandani, naombeni ushauri nifanyaje hili tatizo liishe.?
Previous
Next Post »

Blogger templates